Vitabu vya Google Play

Ununuzi wa ndani ya programu
Maoni 3.2M
Daraja la maudhui
Vijana
1B+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Vijana
Maudhui ya Aina Mbalimbali: Uamuzi wa Wazazi Unahitajika
Ununuzi wa ndani ya Programu
Pata maelezo zaidi
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Furahia ulimwengu wa hadithi ukitumia Vitabu vya Google Play! Gundua mamilioni ya vitabu pepe, vitabu vya kusikiliza, vibonzo na manga — vyote katika programu moja.

Vipengele Muhimu:

• Maktaba yako, popote: Furahia vitabu kwenye simu, kishikwambi, kompyuta au hata katika gari lako ukitumia Android Auto. Pia, unaweza kupakua vitabu vya kusoma nje ya mtandao.

• Jipatie pointi za Google Play: Pata zawadi za pointi za Google Play unaponunua vitabu. Kumbuka: Upatikanaji wa pointi za Google Play, viwango vya tuzo na viwango vya kizidishaji hutofautiana kulingana na nchi. Mpango wa pointi za Google Play haupatikani katika nchi zote.

• Panga ukitumia rafu: Weka upendavyo maktaba yako ya kidijitali ukitumia rafu maalum kuainisha vitabu vyako kulingana na aina, mwandishi au mada yoyote ambayo ungependa.

• Kipengele cha madokezo mahiri: Andika madokezo yanayosawazishwa na Hifadhi yako ya Google na yanayoweza kutumwa ili kurahisisha ushirikiano.

• Huhitaji kujisajili: Nunua tu vitabu unavyotaka, unapovitaka.

• Zana za kusoma zinazowafaa watoto: Waruhusu watoto wavinjari ufafanuzi wa maneno na wasikilize vitabu vikisomwa kwa sauti. Kumbuka: Zana za mazoezi ya kusoma zinapatikana katika Kiingereza pekee.

• Vibonzo vya kuvutia: Furahia Kiputo kinachokuza maandishi kwa usomaji maalum wa vibonzo na manga.

• Kagua kwanza kabla ya kununua: Angalia sampuli ili uhakikishe kuwa ni kitabu kinachokufaa.

• Kusoma bila kugusa: Dhibiti kitabu chako cha kusikiliza kwa sauti yako ukitumia programu ya Kiratibu cha Google.

• Soma inavyokufaa: Wekea mapendeleo usomaji wako kwa kurekebisha fonti, ukubwa wa maandishi, mwangaza na zaidi.

Mamilioni ya hadithi yanakusubiri kwenye Vitabu vya Google Play! Pakua sasa kisha uanze kusoma.
Vitabu vyote unavyovipenda. Kwenye ukurasa au kwa sauti. Mahali popote ulipo.
Ilisasishwa tarehe
3 Ago 2026

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
  • Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
    Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
  • Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
    Taarifa binafsi, Maelezo ya fedha na nyingine5
  • Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
  • Unaweza kuomba data hiyo ifutwe
  • Ukaguzi huru wa usalama

Ukadiriaji na maoni

Maoni 2.85M
Mtu anayetumia Google
12 Julai 2019
download song
Watu 58 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?

Vipengele vipya

Mapya kwenye toleo la 2025.1.10

• Hali iliyoboreshwa ya urahisi wa kutumia katika menyu ya kuchagua maandishi kwenye kitabu pepe

Angalia vipengele hivi

• Pakia faili za EPUB na PDF ili uzisome kwenye vifaa vyako vyote
• Pakua vitabu pepe na vitabu vya kusikiliza ulivyonunua (visivyo na ulinzi wa DRM iwapo vinakubaliwa na mchapishaji) ili usome kwenye vifaa vingine kama vile Nook, Sony Reader, Kobo
Daraja la maudhui
Vijana
Maudhui ya Aina Mbalimbali: Uamuzi wa Wazazi Unahitajika
Ununuzi wa ndani ya Programu
Pata maelezo zaidi

Usaidizi wa programu

Kuhusu msanidi programu
Google LLC
support@google.com
1600 Amphitheatre Pkwy Mountain View, CA 94043 United States
+1 650-253-0000

Zaidi kutoka kwa Google LLC

Programu zinazolingana